Msaada kwa uyu polisi

Msaada kwa uyu polisi

Ren g

Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
18
Reaction score
1
Nina tumiwa msg za vitisho kwa namba nisio ifahamu,nimetoa tarifa polis wamenipa rb,lakn kuitambua namba pols wanadai laki tatu ili waende dar kuulizia namba ni ya nan? Nichukue hatua gani kisheria? Nipo shinyanga
 
Kwanza polisi ni wezi hiyo laki tatu unaibiwa
ngoja wanasheria waje kukusaidia hapa
 
Uongo usiwape ila nenda kwenye mtandao husika watakupa msaada zaidi wao wana kitengo cha usalama
 
Uongo usiwape ila nenda kwenye mtandao husika watakupa msaada zaidi wao wana kitengo cha usalama
akienda huko watamdirect polisi tena daahh..bongo bureaucracy nyingi mpaka kero..!!
 
Back
Top Bottom