Msaada kwa waelewa tu

limbende

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
1,038
Reaction score
621
Kuna rafiki yangu anatatizo,katika mbegu zake za kiume kwa upande wa kushoto kuna uvimbe wa duara na ni uvimbe mgumu,una miaka miwili sasa na mwenyewe anahistoria ya ngiri na choo hapati kigumu,najua si mahali pake ila naona hapa kuna watu iq zao ni kubwa mno,msaidien rafiki yangu tafadhali na na guvu za kiume zimepungua.
 
samahani mkuu mbegu zake umezionaje? au unaongelea kibebea mbegu?

mkuu samahani ila watakuja wanaoelewa
 
sasa wewe umejuaje kama ni nguvu za kiume zimepungua? kama ni nguvu za kiume zimepungua sema moja kwa moja unataka msaada namna ya kuboost nguvu za kiume.

mambo ya choo na huo uvimbe aende hospitali akapime.

umenielewa?
 

cc: Mr Rocky msaada please wa mbegu kuvimba
 
Hiyo ni aina ya hernia nenda hospitali,
 
Nitafute nitakusaidia , kuna maswali mengi ya kuulizana ili vipimo vifanyike . Nitafute sawasawa.mm@gmail.com, nitakupa namba tutachat WhatsApp. Mimi ni daktari na mwajiriwa wa hospital ya serikali dar es salaam.
Kwa msaada tu kwa wanajamii F kuna magonjwa (maradhi) mengi yenye dalili ya kuvimba korodani moja au zote, wakati wote au some times, kupata maumivu au painless, kuhusisha dalili za tumbo (abdomen) au la.
Mfano wake wawezakuwa ngiri (reducable or non ), magonjwa ya zinaa (painful scrotal swelling ), inguinal bubo etc etc
 
Daaa pole xana madaktar wanapita round nw watakuja muda si mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…