limbende
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 1,038
- 621
Kuna rafiki yangu anatatizo,katika mbegu zake za kiume kwa upande wa kushoto kuna uvimbe wa duara na ni uvimbe mgumu,una miaka miwili sasa na mwenyewe anahistoria ya ngiri na choo hapati kigumu,najua si mahali pake ila naona hapa kuna watu iq zao ni kubwa mno,msaidien rafiki yangu tafadhali na na guvu za kiume zimepungua.