Unaweza tueleza risks na faida za kununua mpunga? Na zile za kununua mchele pia?Labda kwa haraka haraka tu ningeshare kidogo kile kidogo ninachofahamu
Hii biashara mode ya kwanza na nzuri lakini very risky ni kuununua mpunga na kuukoboa kupata huo mchele then ndio uupeleke sokoni
Mode ya pili ambayo ni kuununua mchele kama mchele ina"depend" sana na bei ya mahali unapoununua huo mchele
All in all bei maeneo mengi(siongei tu nimezunguka sana) inarange kutoka 1300 mpaka 1500 kwa kilo
Kama huna uzoefu ni bora ununue mchele kuliko mpunga, au utafute mtu wa kukusaidia.Unaweza tueleza risks na faida za kununua mpunga? Na zile za kununua mchele pia?
Kama huna uzoefu ni bora ununue mchele kuliko mpunga, au utafute mtu wa kukusaidia.