Mbomozo
JF-Expert Member
- Dec 23, 2019
- 365
- 966
Habari za jioni wadau......
Anastahiki sifa njema muumba wa ardhi na mbingu. Pia kwa kuniwezesha kumalizia na kuhamia kwenye kibanda changu kipya namshukuru mungu kwa hilo , namuomba mungu ampe ambaye hajapata sehemu yake ya kujiegesha.. Amiin
Baada ya maamkizi nitaenda kwenye mada tangia nimehamia hapo maskani kuna wanyama kwa maelezo ya jiran yangu ambaye ni mhaya wanalia kwa kupokezana na sauti ni kubwa mno Kwa mfano naeza fananisha na Full volume ya boofer.
Yeye jirani anasema ni mnyama kwa lugha ya kihaya anaitwa NDILILA.
Na muda wao kulia huwa nafuatilia kila siku ni saa 4:30
SASA NAOMBA NISAIDIWE KITU KIMOJA HAWA WANYAMA WANAKAA WAPI? JE WANA MADHARA TOFAUTI NA MAKELELE AU WANATUMIWA NA WATURUTUMBI MAANA WAKIACHA TU KULIA UNASIKIA JUU BATI WATU WANAANZA KUSUMBUA... Je mwenye anawajua jina la Ndilila kiswahili ni mnyama gani......
NB:Aisee wanalia mpk wanaboa vibaya aisee