Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 16,078
- 77,186
Sawa mkuu mitaa 100 hivi kutoka ninapoishi kuna mlima mkubwa na vichaka nadhani Kwa maelezo yako watakuwa wanatoka humo. Hofu ya waturutimbi naiondoka. Ila linabaki moja je hakuna dawa ya kuwauwa au nifanyeje maake nadhani wapo wengi hao maake wanapokezana kulia na wanatia hasira hatar
Mkuu wewe ndo umewafuata katika makazi yao, kwanini uwaue?