Sawa mkuu mitaa 100 hivi kutoka ninapoishi kuna mlima mkubwa na vichaka nadhani Kwa maelezo yako watakuwa wanatoka humo. Hofu ya waturutimbi naiondoka. Ila linabaki moja je hakuna dawa ya kuwauwa au nifanyeje maake nadhani wapo wengi hao maake wanapokezana kulia na wanatia hasira hatar
Sawa mkuu kwa ushauri nitafanyia kazi hofu sasa imeshuka nitaendelea with my normal lifeKwanza ondoa fikra za ushirikina. Hao wanyama hawana uhusiano na mambo ya giza hata kidogo, na ni kweli kuwa mida hiyo ya usiku uliyotaja ndiyo husikika wakitoa sauti zao. Hawana madhara hata chembe. Fanya kazi zako bila wasiwasi, wewe unapoishi ni karibu na makazi yao na sio kwamba wao wamekufuata wewe. Unaposali muombe Mungu wako mambo mengine na sio kukuondolea hao wanyama, utakuwa unamjaribu Mungu wako bure.
Shukran sasa mkuu nimewaelewa sasa hawa wanyama sidhani kama nitababaika tenaKama ni komba hao hawana shida wala usiogope sema tu labda hizo kelele ndio zitakuwa kero hapo
Na komba mchana huwa hawaoni vizuri usiku ndio wanaona sana na ndio mda wanajitafutia chakula, kukipambazuka tu wanatulia maana macho yao yanakuwa dhaifu