Msaada kwa wajasiriamali wezangu

Msaada kwa wajasiriamali wezangu

GOYA MNANDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
239
Reaction score
160
Nimejikusanya na wezangu tumeazisha kikundi ambacho kazi zake ni

1) kusindika mboga mboga na.
kuzikausha kama mchicha ,matembele,kisamvu,nk
2)kuandaa unga wa lishe kama unga wa mtama tu unga wa muhogo tu unga wa lishe wenye mchanganyiko wa mchele maharage mboga mboga ulezi na kupack kwenye vifuko nk
3)tunaoka korosho na kuzipaki kwenye vifuko
4) tunauza vikapu ungo na vikoba vya asili

Naomba msaada wenu wajasiriamali.Wezangu ya kupata conection ya kuuza unga wa lishe na wa ugar wa mtama muhoga au lishe kwenye taasis/hotel unga ni nzur kwa uji /ugar
Tumesajiliwa na tuna barcode tunatambuliwa na mamlaka ya chakula na dawa huwa wanakuja kututembelea pamoja na wataalam wa usindikaji kutoka SUA nk

Tunauweo wa ku-supply unga kwa aina tajwa hapo juu kwa wingi na hivyo vikapu vikoba ungo na korosho zilizoukwa kwa wingi sana asanteni

Kwa mawasiliano zaid

0683715151
0716671919
Tunapatikana mbagala kiburugwa

Nakaribisha maoni na ushaur kipitia
Ruambosalum@gmail.com

1471534707479.jpg
1471534729409.jpg
1471534736218.jpg
1471534750419.jpg
1471534759730.jpg
1471534792898.jpg
[[/URL][/URL][/IMG]
1471534821728.jpg
 

Attachments

  • 1471534656197.jpg
    1471534656197.jpg
    103.6 KB · Views: 149
  • 1471534685830.jpg
    1471534685830.jpg
    81.4 KB · Views: 147
Back
Top Bottom