Msaada kwa wale wa mzumbe

Msaada kwa wale wa mzumbe

Peaceful Warrior

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Posts
125
Reaction score
28
NI HIVI KUHUSU MALIPO.
Jinsi gani ya kulipia hela kule kwa sababu hawajatoa ufafanuzi, hivyo zote unalipia kwenye bank slip moja au unatenganisha? Ile pesa ya loan meals and accmodation inahusisha na ada ya hostel au hostel tunalipia wenyewe ? Halafu cha mwisho ni kuhusu direct cost zinalipiwaje? Naombeni msaada ili kesho niende nikalipie.
 
km umepata meals n accomodation frm heslb then hostels hulipii..af ni vizuri ukalipa kila moja kwny pay sleep yake..yaan health fee.coution.muso etc kla moja kwny pay slip yake ili kupunguza usumbusu siku ya registration.
 
juliet kwan ukilpa kwenye slip 1 itakuaje? Afu kama una bima medical fee unalipa 30 elfu?
 
juliet kwan ukilpa kwenye slip 1 itakuaje? Afu kama una bima medical fee unalipa 30 elfu?

coz izo slip znakua submitted kwa watu tofaut tofaut cku ya registration..unaeza uka weka zote kwa slip moja ila ni vzur zaid ukaztofautisha...n yes km unayo bima ya afya unalipa 30 000.
 
katika page ya kwanza na ya tano za joining kuna ac no za mzumbe mbeya,sa ipi ni sahihi?
 
Back
Top Bottom