Msaada kwa wale wataalam wa komputa

Msaada kwa wale wataalam wa komputa

ruhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
4,368
Reaction score
6,661
Niangalia sifa za computer yangu nimekutana na vitu kama vinavyoonekana hapa chini.

sasa, nimeshindwa kuelewa kuna tatizo gani kwenye pc yangu

Attachments

Mkuu hapo hakuna RAM wala CPU, fungua cover then angalia vizuri connection za RAM katika slot zake na connection ya cable ipelekayo power au data cable kutoka/kuingia kwenye processor.
 
Kama RAM isingekuwapo hata kuwaka hadi kufikia hatua hiyo ya kupata hizo details isingewezekana, zaidi sana ingepiga alarm mara tatu then ikabaki power on without any displaying on. hali kadhalika kama CPU isingekuwapo pia kusingekuwa na chochote kinachoonekana.

ugumu ninaouona ni ujumbe kuwa hivyo vitu havipo wakati computer imeweza kuwaka hadi kuweza kwenda kudsplay computer properties. Labda mhusika ajulishe zaidi anashindwa kufanya kazi gani ikiwa computer imeweza kuwaka hadi hatua hiyo. Ushauri wa kwanza ajaribu kuinstall drivers za hiyo computer.
 
mkuu computer inapiga kazi vizuri san na mpaka naandika sasa ninaitumia, wasiwasi wangu ni kua je nini kinaweza kutokea baadae? make vitu vyote vilikuepo mwanzo.
 
Ikiwa inapiga kazi maana yake vitu hivyo vipo na viko salama ndio maana nilisema kama visingekuwepo hata kuwaka isingewaka na kudisplay. hapo nadhani tatizo ni kuwa vitu hivyo havijaorodheshwa kwenye device manager. jaribu kufanya re-installation ya drivers kisha uscan device manager profile.
 
Asante sana nitajaribu hilo option
 
Back
Top Bottom