Msaada kwa walio kwenye ndoa

bornagain

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
3,383
Reaction score
1,357
Jamaninaomba kujuzwa, kuna tofauti gani ya kimaisha na kimaadili kati ya mke ambaeunamuoa wakati umeshafanya nae mapenzi ama alikua mpenzi wako kwa miaka kadhaahuko nyuma na mwanamke ambaye hujafanya nae mapenzi ambae umevumilia nakusubiri mpaka siku ya ndoa yaani siku ya honeymoon ndo mnaanza kufanyamapenzi?
 
Tofauti iko akilini mwako............huyu ni mkeo na sikifaa ama bidhaa ambayo unataka iwe kwenye gredi fulani...na kwa kuzingati hili nakushauri acha kwanza kuoa anagalau kwa sasa..................kukuepusha na matatizo ya kujitakia kabisa kwa jinsi nilivyokuelewa kwenye hayo maandishi hapo juu.
 
hakuna tofauti yoyote katika tendo bali wewe kiakili ndo utakuwa unawaza au kujiwekea nini ulikitenda
 
Kimaadili ni safi mkioana wote bikira..kwaupande mwingine wewe umeshachakachua na unawaza kama huyu ambaye bado hujafanya nae mambo anayaweza kama yule?
 
Tofauti ni kuwa mzinifu kafanya dhambi na hata siku moja hatapata utulivu wa moyo na psychological tranquility wa yule aliyekuwa strong enough akajizuwia na mabaya.

Ambae kaweza kufanya nje ya ndoa ni nini cha kumzuwia kufanya tena nje ya ndoa?
 
Nashukuruni kwa michango yenu ndugu wanajamii
 
Mambo magumu sana haya, hay a ban a endeleeni kujadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…