bornagain
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,383
- 1,357
Jamaninaomba kujuzwa, kuna tofauti gani ya kimaisha na kimaadili kati ya mke ambaeunamuoa wakati umeshafanya nae mapenzi ama alikua mpenzi wako kwa miaka kadhaahuko nyuma na mwanamke ambaye hujafanya nae mapenzi ambae umevumilia nakusubiri mpaka siku ya ndoa yaani siku ya honeymoon ndo mnaanza kufanyamapenzi?