Isack B
Member
- Aug 21, 2014
- 73
- 13
Habari za leo ndugu na jamaa zangu!!? Toka udahili wa wanafunzi stashahada ya elimu ya msingi na sekondari (ordinary diploma in primary and secondary education) katika chuo kikuu cha Dodoma ( UDOM) ufanyike tarehe 14/09/2014 haijatangazwa wala kufahamika tarehe ya kuripoti chuoni. Nimejaribu kuingia kwenye profile yangu lakini sijakuta ujumbe wowote wa kunifahamisha ni lini ninatakiwa kuripoti chuoni. Nimeingia website ya UDOM hawajaweka chochote kuhusiana na kuripoti chuo kwa wanafunzi wa ODSE na ODPE. Nimesoma almanac ya chuo nikaona reporting date of first year undergraduates ni tarehe 18/10/2014.
Sasa sijui ni lini kuripoti chuoni sisi wa ODSE na ODPE. Vilevile admission letters tunapata lini?
Naomba msaada...
Sasa sijui ni lini kuripoti chuoni sisi wa ODSE na ODPE. Vilevile admission letters tunapata lini?
Naomba msaada...