Msaada kwa waliochukua malipo ya NSSF hivi karibuni

Msaada kwa waliochukua malipo ya NSSF hivi karibuni

Kama ni mtu mwenye professional basi utalipwa Kwa installment miezi 6,
Watakupa 33% ya salary uliyokuwa unalipwa mwisho.
Baada ya hzo installment 6 utasibiri Kwa miezi 18 Kama utakuwa bado haujapata kazi ndio utaruhusiwa kufungua madai ambapo utalipwa Pesa zako zote.
Kwa wasio skilled hao wanalipwa Pesa zao zote Kwa mkupuo mmoja.
 
Asante sana
 
Usitegemee kupata hiyo pesa mwaka huu, nakuhakikishia hilo, usije ukaingia madeni kwakutegemea malipo ya Nssf utaonekana tapeli mtaani.

Nssf hawawezi kukuingizia pesa kwenye akaunti amini ninachokueleza, tarehe waliyokwambia nenda kadai check yako waambie utakwenda kuideposit mwenyewe bank, vna utapigwa kalenda wala check hautopata.

Kama watakuwa wamejirekebisha angalau baada ya miezi 6 ndio utapata hiyo ela, tafuta pesa ya kujikimu kwa sasa usiitegee kabisa hela ya hao mashetani wa Nssf utajuta.
lakini hyo hela yake wala si NSSF ,

lkn atazungushwa kama vile anaomb bure

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wakubwa kwa wadogo

Naomba kuuliza, wiki iliyopita nilirudisha fomu yangu ya madai NSSF na baada ya kufanya uhakiki wao wakanambia kwamba siku flani niangalie kwenye akaunti yangu ya benki nitakuta hela imeingia.

Kwakua mpaka natoka pale na akili nayo ilikua imechoka kiasi kwamba nilisahau hata kuuliza kwamba hiyo hela wataniingiza yote kwa pamoja au ndo yale mambo ya kuingiziana kidogo kidogo ambapo huwezi hata kufanya chochote cha kimaendeleo.

Naomba kwa yoyote humu mwenye uzoefu au ambae amechukua pesa zake hivi karibuni anisadie kunielewesha juu ya hili swali langu.

Asanteni.
Kama uliajiriwa kama skilled labour hauwezi kupatiwa pesa yote kuna 33.3% au 50% kutegemea na miezi uliyofanya kazi.
 
Kuna jamaa yangu ni skilled pia sema hayupo kwenye ajira mwaka huu kaomba MAFAO Yake akiwa anasubiri 33% Mwezi wa kwanza ukapita patupu!!
Akaenda kuuliza wakamuambia asubiri Mwezi unaofuata,Ilipofika tarehe za mwisho wa huo mwezi (August) akapata Pesa yake yote!!

NB hii mifuko Ina changamoto na taratibu ambazo Sisi wanachama nadhani hatuzijui kabisa.
Asante san
 
Maelezo Yao ni wenye professional wanapewa 33% Kwa miezi 6 then ukimaliza hapo ukae miezi 18 Kama utaendelea kukosa ajira basi ndio wanakupa yote ila rafiki yangu ana professional kafungua madai kapewa yoteeee
Wabatoa kama una qualify kupata yote, kama huna vigezo utapewa kulingana na sheria zinavyoelekeza
KwA Miezi 6
 
Wakuu mimi Nina michango yangu NSSF Kama 4.5M ni mwaka na nusu umeisha tangu tangu kuondoka nilipokuwa nafanya kazi na baada ya hapo nilipata ajira ya serikali. Hivi naweza kufungua kupewa mafao yangu ya NSSF mana huku michango yangu inapelekwa psssf.
Naomba kujuzwa wakuu
 
Hili ni tatizo la wengi, tusubiri majibu
 
Non professional utapokea zote...

Professional kidogo kidogo...
 
Wakuu mimi Nina michango yangu NSSF Kama 4.5M ni mwaka na nusu umeisha tangu tangu kuondoka nilipokuwa nafanya kazi na baada ya hapo nilipata ajira ya serikali. Hivi naweza kufungua kupewa mafao yangu ya NSSF mana huku michango yangu inapelekwa psssf.
Naomba kujuzwa wakuu
Funguwa, Nssf ni mfuko wa private sector.

Ajira yako serikalini haina uhusiano na Nssf na hawana uwezo wa kujuwa hilo, chukuwa pesa yako hata kama itachelewa funguwa madai.
 
codifier naamini ulifungua madai NSSF. Kama upo active na hutojali plse tupe mrejesho
 
eti proffesiona na non-proffesional, nchi ina vituko sana hii aisee..

eti unamnyima proffessional hela unampa non-proffesional....wakati huyu proffesional ndio ulipashwa kumpa maana tayari anaweza kutengeza ajira kupitia hiyo proffesional yake na hiyo hela ndio ikawa mtaji wake...
 
Back
Top Bottom