Na Mama'ko. Fanculo.Pimbi wewe na baba ako
Asante sanaKama ni mtu mwenye professional basi utalipwa Kwa installment miezi 6,
Watakupa 33% ya salary uliyokuwa unalipwa mwisho.
Baada ya hzo installment 6 utasibiri Kwa miezi 18 Kama utakuwa bado haujapata kazi ndio utaruhusiwa kufungua madai ambapo utalipwa Pesa zako zote.
Kwa wasio skilled hao wanalipwa Pesa zao zote Kwa mkupuo mmoja.
Msenge uyo anawachafua nssf...wanatoa mzigo fasta...Wanatoa acha kupotosha ingawa sio wote wanapewa kwa wakati ila unapata ela yako
lakini hyo hela yake wala si NSSF ,Usitegemee kupata hiyo pesa mwaka huu, nakuhakikishia hilo, usije ukaingia madeni kwakutegemea malipo ya Nssf utaonekana tapeli mtaani.
Nssf hawawezi kukuingizia pesa kwenye akaunti amini ninachokueleza, tarehe waliyokwambia nenda kadai check yako waambie utakwenda kuideposit mwenyewe bank, vna utapigwa kalenda wala check hautopata.
Kama watakuwa wamejirekebisha angalau baada ya miezi 6 ndio utapata hiyo ela, tafuta pesa ya kujikimu kwa sasa usiitegee kabisa hela ya hao mashetani wa Nssf utajuta.
Kama uliajiriwa kama skilled labour hauwezi kupatiwa pesa yote kuna 33.3% au 50% kutegemea na miezi uliyofanya kazi.Habari zenu wakubwa kwa wadogo
Naomba kuuliza, wiki iliyopita nilirudisha fomu yangu ya madai NSSF na baada ya kufanya uhakiki wao wakanambia kwamba siku flani niangalie kwenye akaunti yangu ya benki nitakuta hela imeingia.
Kwakua mpaka natoka pale na akili nayo ilikua imechoka kiasi kwamba nilisahau hata kuuliza kwamba hiyo hela wataniingiza yote kwa pamoja au ndo yale mambo ya kuingiziana kidogo kidogo ambapo huwezi hata kufanya chochote cha kimaendeleo.
Naomba kwa yoyote humu mwenye uzoefu au ambae amechukua pesa zake hivi karibuni anisadie kunielewesha juu ya hili swali langu.
Asanteni.
Asante san
Wabatoa kama una qualify kupata yote, kama huna vigezo utapewa kulingana na sheria zinavyoelekezaNa je wanatoa pesa yote kwa mara moja ?
KwA Miezi 6Wabatoa kama una qualify kupata yote, kama huna vigezo utapewa kulingana na sheria zinavyoelekeza
Wakuu mimi Nina michango yangu NSSF Kama 4.5M ni mwaka na nusu umeisha tangu tangu kuondoka nilipokuwa nafanya kazi na baada ya hapo nilipata ajira ya serikali. Hivi naweza kufungua kupewa mafao yangu ya NSSF mana huku michango yangu inapelekwa psssf.
Naomba kujuzwa wakuu
Msenge Babako mpemba koko.Msenge uyo anawachafua nssf...wanatoa mzigo fasta...
Funguwa, Nssf ni mfuko wa private sector.Wakuu mimi Nina michango yangu NSSF Kama 4.5M ni mwaka na nusu umeisha tangu tangu kuondoka nilipokuwa nafanya kazi na baada ya hapo nilipata ajira ya serikali. Hivi naweza kufungua kupewa mafao yangu ya NSSF mana huku michango yangu inapelekwa psssf.
Naomba kujuzwa wakuu
HaaahaaaaMsenge Babako mpemba koko.
Funguwa, Nssf ni mfuko wa private sector.
Ajira yako serikalini haina uhusiano na Nssf na hawana uwezo wa kujuwa hilo, chukuwa pesa yako hata kama itachelewa funguwa madai.
codifier naamini ulifungua madai NSSF. Kama upo active na hutojali plse tupe mrejeshoWakuu mimi Nina michango yangu NSSF Kama 4.5M ni mwaka na nusu umeisha tangu tangu kuondoka nilipokuwa nafanya kazi na baada ya hapo nilipata ajira ya serikali. Hivi naweza kufungua kupewa mafao yangu ya NSSF mana huku michango yangu inapelekwa psssf.
Naomba kujuzwa wakuu
Nani anadetermine kuwa huyu ni professional huyu siye??Non professional utapokea zote...
Professional kidogo kidogo...