Msaada kwa walioko Marekani

Msaada kwa walioko Marekani

Nyamaiso

Senior Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
166
Reaction score
244
Muda au kipindi gani nauli ya ndege inakuwa bei nafuu kuja USA,

Mji au STATE gani ni nzuri kuhamia na kufanya kazi(yoyote) Kuosha wazee , kuosha vyombo, udereva, na kazi kama hizo,
Nipo serious,

Nyumba au sehemu ya kuishi mimi na mke inasnzia $ ngapi, kwa anayejitafuta kama mimi,

Umri wangu ni mtu wa makamu,

Kiasi cha chini kabisa cha pesa ya kuanzia maisha huko ni kama $ mgapi,

Nawasilisha. Nipo tayari kuondoka kuanzia September

Nisaidieni

Kiasi cha & kuanzia maisha , namaanisha mpaka nipate kazi huko,

Je kuna Mtanzania yoyote yupo tayari kushare na mimi nyumba kwa muda, lakini nitakuwa namlipa ? Mpaka nitakapopata kwangu,
 
Muda au kipindi gani nauli ya ndege inakuwa bei nafuu kuja USA,

Mji au STATE gani ni nzuri kuhamia na kufanya kazi(yoyote) Kuosha wazee , kuosha vyombo, udereva, na kazi kama hizo,
Nipo serious,

Nyumba au sehemu ya kuishi mimi na mke inasnzia $ ngapi, kwa anayejitafuta kama mimi,

Umri wangu ni mtu wa makamu,

Kiasi cha chini kabisa cha pesa ya kuanzia maisha huko ni kama $ mgapi,

Nawasilisha. Nipo tayari kuondoka kuanzia September

Nisaidieni
 
Na mm pia napiga kambi hapa.nina mpango huo wa kwenda USA au ULAYA ila sitaki kuajiriwa nataka nifanye kazi ya kuuza genge la kwangu.NAMAANISHA KIBANDA YA NYANYA VITUNGUU MATIKITI na nk.wazoefu nipeni data inahitajika mtaji kiasi ngapi kuazisha kibanda(genge).
 
Ajibu kwanza hilo. Asije kuwa anaulizia step 9 Kabla ya 1.
Bufa , nisaidie kwanza kupata host, nipo ktk mchakato wa kujaza, lakini bila host naona kama ni tatizo,

Lakini kwa maswali yangu hapo juu , kama itanipa inf, nitashukuru sana
 
Bufa , nisaidie kwanza kupata host, nipo ktk mchakato wa kujaza, lakini bila host naona kama ni tatizo,

Lakini kwa maswali yangu hapo juu , kama itanipa inf, nitashukuru sana

Mkuu, unaenda USA kwa visa gani? Umeshinda GC? Maswali ya Infropreneur yana msingi sana.
 
Back
Top Bottom