Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 778
- 2,764
CHOCHOTE UFANYACHO MTANGULIZE YESU HATA ISHU YA HOST KWAKO ITAKUWA NI RAHISI KUMPATA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana, ngoja nielekee hukoKwa ishu za nje mcheki EBM Mswahili, Black Singapore,jack wa USA,mama franjo, Official dating assistants YouTube utashiba madini ya kutosha
Ahsante sana, ngoja nielekee huko
Muda au kipindi gani nauli ya ndege inakuwa bei nafuu kuja USA,
Mji au STATE gani ni nzuri kuhamia na kufanya kazi(yoyote) Kuosha wazee , kuosha vyombo, udereva, na kazi kama hizo,
Nipo serious,
Nyumba au sehemu ya kuishi mimi na mke inasnzia $ ngapi, kwa anayejitafuta kama mimi,
Umri wangu ni mtu wa makamu,
Kiasi cha chini kabisa cha pesa ya kuanzia maisha huko ni kama $ mgapi,
Nawasilisha. Nipo tayari kuondoka kuanzia September
Nisaidieni
Kiasi cha & kuanzia maisha , namaanisha mpaka nipate kazi huko,
Je kuna Mtanzania yoyote yupo tayari kushare na mimi nyumba kwa muda, lakini nitakuwa namlipa ? Mpaka nitakapopata kwangu,