Nashukuru sana ndugu yangu, engine iliyopo ni ya diesel , kuhusu kipengela no 2 naomba radhi sio kusudio langu, naomba mod kama ikiwezekana auondoe Uzi huu ili niandike upya, sina uzoefu wa kufanya marekebisho. Poleni wadau najua nimewakwaza.Mkuu hujasema engine iliyopo ni petrol au desel pia kwenye kipengele no 2 kuna tyiping erro
Nataka kubadili engine , ya gari aina ya Isuzu bigon, ili niweke engine nyingine tofauti.
1: Je engine ya aina gañi iliyo nzuri kwa matumizi na inayo weza Ku fiti vzr kwenye body ya Isuzu bigon
2: Je nikibadili engine **** umuhimu pia wa kubadili na gear box,
3: Naomba msaada wa kueleweshwa pia ni aina gani ya engine iliyo bora na yenye unafuu wa gharama wakati wa kufanya service.
Natanguliza heshima kwenu wana bodi nipatieni msaada huo wa mawazo. Asanteni sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vemaNina Isuzu Birgon nauza 12M