Msaada kwa wanao elewa.

Msaada kwa wanao elewa.

mcoloo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
918
Reaction score
1,402
Nataka kubadili engine , ya gari aina ya Isuzu bigon, ili niweke engine nyingine tofauti.
1: Je engine ya aina gañi iliyo nzuri kwa matumizi na inayo weza Ku fiti vzr kwenye body ya Isuzu bigon
2: Je nikibadili engine **** umuhimu pia wa kubadili na gear box,
3: Naomba msaada wa kueleweshwa pia ni aina gani ya engine iliyo bora na yenye unafuu wa gharama wakati wa kufanya service.
Natanguliza heshima kwenu wana bodi nipatieni msaada huo wa mawazo. Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hujasema engine iliyopo ni petrol au desel pia kwenye kipengele no 2 kuna tyiping erro
Nashukuru sana ndugu yangu, engine iliyopo ni ya diesel , kuhusu kipengela no 2 naomba radhi sio kusudio langu, naomba mod kama ikiwezekana auondoe Uzi huu ili niandike upya, sina uzoefu wa kufanya marekebisho. Poleni wadau najua nimewakwaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipenengele cha pili inaonesha una matumizi ya k Sana kwenye kibord yako Safi Sana mkuu (k pia ni engine)
 
Nataka kubadili engine , ya gari aina ya Isuzu bigon, ili niweke engine nyingine tofauti.
1: Je engine ya aina gañi iliyo nzuri kwa matumizi na inayo weza Ku fiti vzr kwenye body ya Isuzu bigon
2: Je nikibadili engine **** umuhimu pia wa kubadili na gear box,
3: Naomba msaada wa kueleweshwa pia ni aina gani ya engine iliyo bora na yenye unafuu wa gharama wakati wa kufanya service.
Natanguliza heshima kwenu wana bodi nipatieni msaada huo wa mawazo. Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Nina Isuzu Birgon nauza 12M
 
Back
Top Bottom