Msaada kwa wanaofahamu: Hizi scale za walimu katika mashirika ya umma PSTS zikoje.

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Mashiirika ya umma kama vile Kibaha Education Centre yanayomiliki shule, walimu wake hutumia ngazi za mishahara za PSTS tofauti na walimu chini ya Tamisemi wanaotumia ngazi za TGTS. Mwalimu anayeanza huko kwenye mashirika huanzia PSTS 3, wakati huko Tamisemi huanzia TGTS D1 771,000/= kwa mwezi. Nilitaka kufahamu hao wa PSTS 3 huanzia shilingi ngapi?
 
Nami nangojea majibu
 
Sio chini ya milioni
 
Back
Top Bottom