Old story JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 2,264 Reaction score 2,152 Jun 21, 2020 #1 Ningependa kujua changamoto mbalimbali zinazo weza kutokea katika ukusanyaji na usafirishaji wa mazao ya kilimo kama vile mahindi, maharage au mpunga maana ni biashara ninayo panga kuifanya pindi muda ukifika.
Ningependa kujua changamoto mbalimbali zinazo weza kutokea katika ukusanyaji na usafirishaji wa mazao ya kilimo kama vile mahindi, maharage au mpunga maana ni biashara ninayo panga kuifanya pindi muda ukifika.
Joeseoc Member Joined Sep 11, 2018 Posts 65 Reaction score 93 Jun 21, 2020 #2 Changamoto kubwa hapo ni muda.