Ningependa kujua changamoto mbalimbali zinazo weza kutokea katika ukusanyaji na usafirishaji wa mazao ya kilimo kama vile mahindi, maharage au mpunga maana ni biashara ninayo panga kuifanya pindi muda ukifika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.