the-true-wash
Senior Member
- Oct 14, 2012
- 142
- 109
Nataka nifanye biashara Harare, huko kuna stanbic na standard chartered bank ambazo na huku zipo. Je naweza kufungua account kule kisha niwe na uwezo wa kuitumia account yangu nikiwa huku katika benki hizo hizo?? Mfano kutoa pesa nikiwa huku kisha kununua mzigo na kuutuma kule.
Is it possible?
Is it possible?