Msaada kwa wanaofanya kazi bank

Msaada kwa wanaofanya kazi bank

the-true-wash

Senior Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
142
Reaction score
109
Nataka nifanye biashara Harare, huko kuna stanbic na standard chartered bank ambazo na huku zipo. Je naweza kufungua account kule kisha niwe na uwezo wa kuitumia account yangu nikiwa huku katika benki hizo hizo?? Mfano kutoa pesa nikiwa huku kisha kununua mzigo na kuutuma kule.
Is it possible?
 
Nitafanya hivyo mkuu ila nauhakika hapa jf kuna wafanyakaz weengi tu ni member, nikienda bank kuuliza nitaonana na mtu mmoja tu!
 
Unaweza but kila forexample ukiwa umefungulia Tz kila unapotoka Tz inabidi utoe taarifa kwa branch yako...
 
Unaweza but kila forexample ukiwa umefungulia Tz kila unapotoka Tz inabidi utoe taarifa kwa branch yako...

Kaka kwanza nakushukuru sana kwa taarifa, ila naomba maelezo ya ziada kwa nini taarifa inahitajika kabla ya kutoka nchini? Na je naweza kujua status ya account yangu ya nje nikiwa tz?
 
Kaka kwanza nakushukuru sana kwa taarifa, ila naomba maelezo ya ziada kwa nini taarifa inahitajika kabla ya kutoka nchini? Na je naweza kujua status ya account yangu ya nje nikiwa tz?

sikiliza google hizo bank utapata namba zao za simu za kila tawi, then uwaulize direct, hapo utapata majibu sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom