Hujanitendea haki mkuu. Huo ndo mwisho wa A B C Za hicho chuo?akajiandae jioni kuwa anaonekana mitaa ya sinza makaburini
Hujanitendea haki mkuu. Huo ndo mwisho wa A B C Za hicho chuo?
I smell kaukorofi ndani yako. Any way may be hiyo ni A na B C je? Hata hivyo nashukuru kwa hiyo tahadhari. Ubarikiwe.sawa ajiandae jioni kuwa anaenda kuuza sura mwenge,
Asante sana mkuu. Mungu akubariki.A: ajiandae kusoma kwa makini, kazi nje nje! B: Asikubali kutumika kwa wajanja wachache C: Asipende kuiga saaana, kifupi jirani yako asikaze sana, ampe pesa ya matumizi kumlinda na tabia chafu za vijana wengi wa vyuo.
Shukurani mkuu. Samahani Naomba nikupmaisee hicho chuo ni kizuri ,,,mimi mwenyewe degree yangu ya kwanza nilisoma hapo,,,,,na its one of the best institutes offers social work in africa
Shukrani sana mkuu na ubarikiwe. Yeye kapata Industriak Relations sijui ni nzuri.as far as I know pale kuna three courses; Social Work, Human Resources Management and Industrial Relations/Labour studies.ni chuo kizuri na mwanafunzi akiwatumia vizuri walimu wake (please take a positive meaning) atajenga uelewa mzuri (kama atafanya bidii). vilevile kuna msisitizo mkubwa wa field work so student akiwa makini anajenga uwezo kivitendo vilevile.siwezi kuacha kukueleza hili; kama mhusika ni mtoto wa kike please please awe muangalifu sana. huyo jirani yako ajitahidi kumpa mahitaji yake muhimu...ampe lecture ya kuepukana na tamaa coz asipoishinda hiyo, hali haitakuwa nzuri kwakweli.kila la kheri
Nafuta kauri hiyo kwa jina la Yesu.Ataishia Hongera Bar, then atakuwa Bar-maid.
Sijakuelewa hivyo vifupi vyako.Nipe Jina lake nataka niMBETO 0713......plz nipe namba yake,au hata yako i wanna CKFU you good
Umeonaeee. Nimeamua kumpotezea. Hawana tofauti na yule kijana wa Songea.Vijana wa sasa mnawaza mapenziiiiiiiiiiiiiiii
Shukrani sana mkuu na ubarikiwe. Yeye kapata Industriak Relations sijui ni nzuri.
Thanks mkuu. Kumbe Tanzania bado mpo watu wenye roho nzuri ya kuelimisha wengine nilishakajikatia tamaa ndani ya nchi yangu. Lililobaki ni kumfunda tu binti maana ndoto yake ni kufika mbali. Ubarikiwe.well ni nzuri. akifanikiwa kumaliza hiyo vyema, atakuwa mtaalam wa sheria za kazi, work relations, mediation and arbitration na masuala ya jinsi hiyo. hapo zamani course ilifahamika kama Labour Studies. atulize tu kichwa ipo vizuri.