fikiria sana uhusiano wako na wenzako na uhusiano wako na mola!!! sidhani kama GT anaweza mtamkia mwenzake maneno kama hayo...una uhuru ila uhuru usikuponze!!
fikiria sana uhusiano wako na wenzako na uhusiano wako na mola!!! sidhani kama GT anaweza mtamkia mwenzake maneno kama hayo...una uhuru ila uhuru usikuponze!!
Samahani sana LORDVILLE,mtoa mada na wadau wote,,mimi Mbwiga88 natake responsibility kwa yote yaliyotokea,kilichotokea nikwamba sikulogout JF and kuna mtu asiyekuwa mwaminifu hapa kazin kwangu akapost ule uchafu,im sorry, nawasilisha
Thanks mkuu. Kumbe Tanzania bado mpo watu wenye roho nzuri ya kuelimisha wengine nilishakajikatia tamaa ndani ya nchi yangu. Lililobaki ni kumfunda tu binti maana ndoto yake ni kufika mbali. Ubarikiwe.