Nahitaji kujua kuhusiana na nini kinahitajika haswa katika swala la msuli coz huwa naskia tetesi za welcom paper ambalo watu huishia kupata negative, 4, 0.5,0. please naomba msaada wa nini nifanye kabla cjakutwa na hayo ya negative na mengine. cna ufahamu wowote kuhusiana na faculty hiyo xo kama kuna mtu anaweza kunifahamisha basi itakuwa vyema. I TRUST IN GOD.:flypig:
mwenyewe nimechaguliwa hyo coz hapo udsm bt nackia huwez kujiajiri na ajira zake cku hz ni kujuana,ikitokea ukakosa inabidi usugue benchi,mm naenda diploma pale muhimbili,zaidi sana nakushauri usomee fani ambayo una vision nayo japo mwendo ni mrefu