Msaada kwa wanaotumia WhatsApp

Msaada kwa wanaotumia WhatsApp

Bin Shaib

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,346
Reaction score
1,221
Habari za uzima wapendwa, natumai mko poa japo changamoto hazikosekani hiyo ni sehemu ya maisha.


Maada yangu inahusu changamoto ya WhatsApp,katika kutuma audio kwa mtu,, kuna audio ambazo nilimtumia mtu zikagoma kuna maneno haya hapa chini inaandika na mimi sijajua tatizo ni nini,,kuna audio ilikuwa na mb 4.0 niliituma ikakubali lakini nikajaribu yenye mb 8.4 ikagoma msaada tafadhali wana jukwaa.

Can't send this media,Choice different media and try again.

Muwe na siku njema katika Bwana.
 
Back
Top Bottom