Msaada wa kisheria jamani, ni kwamba kuna jamaa yangu amemshikia dhamana rafiki yake ambae anakesi ya madai ya kama milioni 15, maana yake nikwamba mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana na alitakiwa kulipoti polisi kila wiki,bahati mbaya au nzuri yeye ni mfanya biashara kwahiyo ilibidi asafiri nje ya nchi,kwahiyo tangu january amesafiri na anategemea kurudi mwezi wa 3 na yeye yuko tayari kulipa hilo ndeni ingawa wakati wanapeana hakuna sehemu yoyote walio andikishana walipeana kirafiki ila kwasasa mdai amekuwa msumbufu kwani anamtafuta mdhamini kwa udi na uvumba na nia yake nikumweka ndani pia anamkubwwa wa polisi ambae anampa jeuri ila bahati mbaya au nzuri huyo jamaa yangu kwa sasa yupo nje ya Dar. Je kisheria imekaaje?kwwa kwa mdhamini na mtuhumiwa