Msaada Kwa wataalam wa Electronics

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Nina sacket zangu za kutoka kwenye fuso super great ambazo zimeungua na kusababisha gari kukosa nguvu

Naitaji msaada kama mtu anaweza kuzifix au kuzifanyia utundu wowote mpaka ziwe okay







 
Hizo ni fuse tu,unga waya
Hizo ni fuse unga waya between terminals,ila daah pembeni naona kuna mosfet imeungua kabisa,wish tungekuwa karibu ningekusaidia
 
Hizo ni fuse tu,unga waya

Hizo ni fuse unga waya between terminals,ila daah pembeni naona kuna mosfet imeungua kabisa,wish tungekuwa karibu ningekusaidia
Ww uko wapi Nije kukuletea
 
Mkuu kwa tatizo la software na hardware nitafute mupitia hii
No 0714894219
Tatizo lako litakuwa fixed mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…