Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh! Asante kwa mrejeshoWameshanisaidia
Hizo ni fuse tu,unga wayaNina sacket zangu za kutoka kwenye fuso super great ambazo zimeungua na kusababisha gari kukosa nguvu
Naitaji msaada kama mtu anaweza kuzifix au kuzifanyia utundu wowote mpaka ziwe okay
View attachment 1854621
View attachment 1854622
View attachment 1854623
View attachment 1854624
Hizo ni fuse unga waya between terminals,ila daah pembeni naona kuna mosfet imeungua kabisa,wish tungekuwa karibu ningekusaidiaNina sacket zangu za kutoka kwenye fuso super great ambazo zimeungua na kusababisha gari kukosa nguvu
Naitaji msaada kama mtu anaweza kuzifix au kuzifanyia utundu wowote mpaka ziwe okay
View attachment 1854621
View attachment 1854622
View attachment 1854623
View attachment 1854624
Nipo Morogoro mkuuWw uko wapi Nije kukuletea