Wadau poleni na majukumu,naomba msaada wa kiuelewa ndugu zangu nimejalibu kuingia website ya be foward nimeona magari mbalimbali sasa nikawa nataka nichukue suzuki swift ya mwaka 2003 kwa sababu ndio ntaweza kuiweka barabarani daily na mpunga nilionao saizi mfukoni ni 6million.hiyo gari CIF ni USD 1996=TSH 3,309,368. ninahitaji BEI gani mpaka gari iwe mikononi mwangu wakuu.?nimeingia website ya TRA nimeshindwa kuelewa hesabu zao.Naomba msaada.
Umeshindwa kuelewa hesabu zipi TRA, hebu kwanza tuanzie hapo
nenda saccos mkuu!!!!!
nimeshamaliza mkuu,ndio maana natafuta gari nitakayoimudu mzee kuanzia service mpaka fuel.
mkuu ingia kwenye website yao kisha chagua mwaka wa uchakavu then angalia engine capacity kuna dolla kama 22823 ukiingiza kwenye calculator depreciation wea 80% utapata kiasi cha kodi mkuu! Hongera kwa kumiliki gari, karibu sana