bushman
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,412
- 747
Wadau poleni na majukumu,naomba msaada wa kiuelewa ndugu zangu nimejalibu kuingia website ya be foward nimeona magari mbalimbali sasa nikawa nataka nichukue suzuki swift ya mwaka 2003 kwa sababu ndio ntaweza kuiweka barabarani daily na mpunga nilionao saizi mfukoni ni 6million.hiyo gari CIF ni USD 1996=TSH 3,309,368. ninahitaji BEI gani mpaka gari iwe mikononi mwangu wakuu.?nimeingia website ya TRA nimeshindwa kuelewa hesabu zao.Naomba msaada.