Msaada kwa Wataalam wa masomo ya Sayansi

mnyalukoloh

Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
74
Reaction score
31
Nawasalim Kwa Imani Zenu

Kwa wenye uzoefu wa masomo ya sayansi msaada wenu tafadhari

Mi ni Mhitimu wa kidato cha sita mchepuo PCB na ufaulu wangu ni div three ya point 13.Ph.D,che Na Bio C

Ndoto zangu zilikuwa ni kupiga Md.

Kutokana na matokeo yangu nimeamua kupendekeza Vyuo vifwatavyo kwa Md

1.Archbishop

2.Kailuki

3.IMTU

4*...........
5*...........

Karibu Ndugu zangu mnishauri kwa kozi nilizo pendekeza.

Pia mnisaidie kuweka kozi zingine nje na Education ambazo ni nzuri zaid kwa PCB.Kabla sijaanza kuomba vyuo

Natanguliza Shukurani.

Ahsante!
 
Na hiyo div 3 kuingia MD vyuo vya serikali ngumu lakin vya private unaweza ingia kama KIU,IMTU,n.k but ungepiga BSC Chemistry ya UDOM au UDSM ingekuwa powa sana
 

MD-bugando, UDOM
Veterinary medicine -SUA

halafu uweunaangalia kama utaweza kuafford ada, maana vyuo kama IMTU ada ni kubwa sana kuliko mkopo wa asilimia 100 anaopewa na serikali, hiyo ni kwa vyuo vingi vya private.

komalia zaidi UDOM na bugando kama kweli unataka MD pia kumbuka wanawake huwa wanapewa nafasi ya upendeleo kuliko wanaume so inategemea we ni jinsia gani maana kwa hayo matokea wenzako mwaka jana walitupwa Edu, walibaniwa md
 

Asante Kwa Mchango Wako Nitalifanyia Kazi
 
Karibuni Wadau Mtusaidie Kwa Cozi Zozote Nje Ya Education,md Na Pharmacy Ambazo Zina Faa Kwa Watu Wa Pcb
 
Karibuni Wadau Mtusaidie Kwa Cozi Zozote Nje Ya Education,md Na Pharmacy Ambazo Zina Faa Kwa Watu Wa Pcb

yani mkuu nikushauli tu utafute kitabu cha TCU,maana mtu PCB anaweza kusoma kozi nyingi sana za watu wa art.. PCB unaweza kusoma kozi karibu zote za mtu wa PCM, CBG, EGM, HGE na hata za Accountants unaenda tu licha ya kuwa hukusoma Economics.

ila ukiondoa Md,Edu na Pharmacy...wengi wanapendelea
Veterinary medicine
Nursing (degree)
 
mkuu hii thread imenifumbua macho ...
napenda kuuliza lab tech ni nzuri au ajira ndogo?
 
Kusoma veternary ni kumpoteza mtu??? Hata Human medicine inahtaji kujitolea.
 

Ni Cozi Gani Hizo?
Tusaidie Kwa Kuzitaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…