Msaada kwa Wataalam wa masomo ya Sayansi

Msaada kwa Wataalam wa masomo ya Sayansi

B V M hapo SUA ni ngumu sana wakuu ushauri tafadhali juu ya hii course
 
Karibuni Wadau Mtusaidie Kwa Cozi Zozote Nje Ya Education,md Na Pharmacy Ambazo Zina Faa Kwa Watu Wa Pcb

Medicine

Pharmacy

Dental Surgery

Nursing(Nursing general,Midwifery,Management)

Laboratory Sciences(Histotechnology,Parasitology,Hematology etc)

Environmental Sciences

Hizi zote ni health related na zipo Muhimbili na vyuo vingine

Kuna zingine ni nje ya afya nizijuazo

Petroleum Chemistry

BVM

Aquaculture and Fisheries

Bsc Chemistry

Hizi ni baadhi nijizuajo ambazo wana wa PCB wanaweza kutamba watakavyo

Aidha,zipo zingine nyiingi sana jaribu kupitia kitabu kipya cha TCU utaona taarifa nyingi

Ukiwa una matokeo ya kawaida sana epuka kuchagua vyuo vyenye ushindani mkubwa..Matokeo yake huwa ni kukosa first round na during second round vyuo na kozi zote nzuri huwa zimeisha tayari
 
competition ipo coz mwaka huu wanaitaji watu 90 mwaka jana ilikua watu 70 so ufauru wako mzuri bt brn nao wanaitaka chamsingi appy kupata na kukosa 50%

Asante Nime Kuelewa Kaka
 
Medicine

Pharmacy

Dental Surgery

Nursing(Nursing general,Midwifery,Management)

Laboratory Sciences(Histotechnology,Parasitology,Hematology etc)

Environmental Sciences

Hizi zote ni health related na zipo Muhimbili na vyuo vingine

Kuna zingine ni nje ya afya nizijuazo

Petroleum Chemistry

BVM

Aquaculture and Fisheries

Bsc Chemistry

Hizi ni baadhi nijizuajo ambazo wana wa PCB wanaweza kutamba watakavyo

Aidha,zipo zingine nyiingi sana jaribu kupitia kitabu kipya cha TCU utaona taarifa nyingi

Ukiwa una matokeo ya kawaida sana epuka kuchagua vyuo vyenye ushindani mkubwa..Matokeo yake huwa ni kukosa first round na during second round vyuo na kozi zote nzuri huwa zimeisha tayari

Nime Kufuata Pm Kwa Msaada Zaidi
 
Ukichaguliwa IMTU jipange sana kwa maana ya tuition fee na gharama za chuo, ukipewa loan 100% na bodi inabidi uongeze cyo chini ya mil 5 kwa mwaka. Pitia tcu guide itakusaidia sana
 
Kama umepiga PCB afu kwa matokeo hayo watakuchukua man,mi nipo SUA hapa BSc. Agric Engineering
 
Back
Top Bottom