Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
B V M hapo SUA ni ngumu sana wakuu ushauri tafadhali juu ya hii course
Na Vipi Kwa Case Ya Competition??
Karibuni Wadau Mtusaidie Kwa Cozi Zozote Nje Ya Education,md Na Pharmacy Ambazo Zina Faa Kwa Watu Wa Pcb
competition ipo coz mwaka huu wanaitaji watu 90 mwaka jana ilikua watu 70 so ufauru wako mzuri bt brn nao wanaitaka chamsingi appy kupata na kukosa 50%
Medicine
Pharmacy
Dental Surgery
Nursing(Nursing general,Midwifery,Management)
Laboratory Sciences(Histotechnology,Parasitology,Hematology etc)
Environmental Sciences
Hizi zote ni health related na zipo Muhimbili na vyuo vingine
Kuna zingine ni nje ya afya nizijuazo
Petroleum Chemistry
BVM
Aquaculture and Fisheries
Bsc Chemistry
Hizi ni baadhi nijizuajo ambazo wana wa PCB wanaweza kutamba watakavyo
Aidha,zipo zingine nyiingi sana jaribu kupitia kitabu kipya cha TCU utaona taarifa nyingi
Ukiwa una matokeo ya kawaida sana epuka kuchagua vyuo vyenye ushindani mkubwa..Matokeo yake huwa ni kukosa first round na during second round vyuo na kozi zote nzuri huwa zimeisha tayari
Hata BSc Veterinary medicine hapa sua iko poa