Msaada kwa wataalamu wa magari

Msaada kwa wataalamu wa magari

Longito

Member
Joined
May 3, 2018
Posts
21
Reaction score
28
Wadau nina gari Toyota L/C Prado Engine 1KZ - CC 4166 matumizi ya diesel yalikuwa lita 1 kwa km. 9 kama mwezi mmoja uliopita kwa sasa hivi inatumia lita 1 kwa km. 5. Naomba mwenye utaalam wa masuala haya anipe ushauri tafadhali.
 
Sababu nyingi zinazawea kusababisha hayo; kubwa ni hizi:
(a)Matairi hayana upepo wa kutosha
(b)Air filter imeziba
(c)Injectors zimechafuka
 
Angalia nozzle zako..
Cheki pia hakuna engine code yeyote.
Mara ya mwisho umebadilisha fuel filter lini?
Cheki restriction kwenye fuel system..
Air cleaner umebadilisha lini..?
Cheki engine control box signals to nozzle

Is it turbo charged or non turbocharged?
 
Usiende popote hilo sio tatizo kubwa nenda kafungue nozzle zikapimwe zimeachia zinatema mafuta sana akupimie pressure 145 au 150 azizidi hapo. Utaona mabadiliko
 
Ila mkuu hakuna 1KZ ni 2994CC ambayo ni 3.0L hio 4166 ni 1HD-T ambayo ipo kwenye Land Cruiser...ninauzoefu na hio 1 KZ binafsi napataga kuanzia 5.7Km/L hadi 6.5km/l hapo ni ikiwa imetoka service na pia nikiwa naendesha kama bibi kizee tofauti na hapo ni 5.0-5.5km/l ingawa 1KZ hii inashida kadha wa kadha kwenye gearbox hio prado yako ni ya mwaka gani? Na mpya? I.e imetoka Japan si muda mrefu?
 
Mwenyewe nina Prado 8996CC inatumia mafuta ya ndege km 2 lita 2 wataalamu nisaidien
 
Wadau nina gari Toyota L/C Prado Engine 1KZ - CC 4166 matumizi ya diesel yalikuwa lita 1 kwa km. 9 kama mwezi mmoja uliopita kwa sasa hivi inatumia lita 1 kwa km. 5. Naomba mwenye utaalam wa masuala haya anipe ushauri tafadhali.
Huo mchepuko wako una gundu. Achana nae urudi kule kwa km 9
 
Ila mkuu hakuna 1KZ ni 2994CC ambayo ni 3.0L hio 4166 ni 1HD-T ambayo ipo kwenye Land Cruiser...ninauzoefu na hio 1 KZ binafsi napataga kuanzia 5.7Km/L hadi 6.5km/l hapo ni ikiwa imetoka service na pia nikiwa naendesha kama bibi kizee tofauti na hapo ni 5.0-5.5km/l ingawa 1KZ hii inashida kadha wa kadha kwenye gearbox hio prado yako ni ya mwaka gani? Na mpya? I.e imetoka Japan si muda mrefu?
Aisee kama tractor vile
 
Check last service kama ulitumia vitu genuine
Wadau nina gari Toyota L/C Prado Engine 1KZ - CC 4166 matumizi ya diesel yalikuwa lita 1 kwa km. 9 kama mwezi mmoja uliopita kwa sasa hivi inatumia lita 1 kwa km. 5. Naomba mwenye utaalam wa masuala haya anipe ushauri tafadhali.
 
Kumbe tractor linakula sana mafuta?
Mbona mi nina trector lipo vizuri katika ulaji wa mafuta , 1 liter per 10 km ila kwenye kulima ndio kuna utofauti kidogo hekari 1 linatumia lit 10, disel
 
Back
Top Bottom