Msaada kwa wataalamu wa sage pastel evolution

Msaada kwa wataalamu wa sage pastel evolution

Parachichi

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2008
Posts
510
Reaction score
102
Wakuu heshima mbele!mimi ninatumia sage pastel accounting package!ninafanya reconcilliation kati ya Subsidiary account na General ledger Account!sasa GL balance ipo juu than subsidiary!it means that kuna manual posting zimefanyika kwenye GL!Nimejaribu ku trace naona kichwa kinauma bila mafanikio!kwa mtaalamu wa pastel naomba msaada jamani!hii itawasaidia na wengine ambao ni wahasibu wana tatizo kama la kwangu.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom