Msaada: Kwa watalamu wa afya ya uzazi

Msaada: Kwa watalamu wa afya ya uzazi

de nehe

Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
63
Reaction score
14
Naomba kujua mzunguko wa hedhi kama n mrefu au mfupi Kwan anaingia last three month katika tarehe hii mwez wa nne tarehe15, mwez wa tano tarehe13, mwez wa Sita tarehe10 na Mwez wa Saba tarehe14 ....then Baada ya hapo naomba kujua siku zake za hatari n zp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua mzunguko wa hedhi kama n mrefu au mfupi KWA mfano anaingia last three month katika tarehe hii mwez wa nne tarehe15, mwez wa tano tarehe13, mwez wa Sita tarehe10 na Mwez wa Saba tarehe14 ....then Baada ya hapo naomba kujua siku zake za hatari n zp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha umekuja kwa speed ya 4G [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah mimba hizi, na wanafunzi wa magufuri
 
mama kapime tu mimba izo assumption za free day na danger hazifananagi na ndo maana c fact Bali ni assumption hata dr akikufubdisha mwaka mzima mwili c jiwe unabadilika every seconds
 
Ngoja wataalamu waje...


NB; Picha haihusiani na mada [emoji23][emoji23][emoji23]

9cd63746b64be15183eb568504927158.jpg


Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Mkuu unatafuta mtoto?!...nadhani google kuna maelezo ya kutosha au ingia youtube uangalie menstrual circle utajifunza vya kutosha....kila la kheri
 
Vaa ndom watoto waliotelekezwa nchini na Baba zao wameshakuwa wengi sana. Vaa ndom kuepuka mimba ya kutokukusudia.

Naomba kujua mzunguko wa hedhi kama n mrefu au mfupi KWA mfano anaingia last three month katika tarehe hii mwez wa nne tarehe15, mwez wa tano tarehe13, mwez wa Sita tarehe10 na Mwez wa Saba tarehe14 ....then Baada ya hapo naomba kujua siku zake za hatari n zp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote hizo anaingia p. Hajui mzunguko wake ni mrefu au mfupi.
Au una date standard 4

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Back
Top Bottom