Msaada kwa watumiaji wa computer au walio somea information and technology ( IT)

Msaada kwa watumiaji wa computer au walio somea information and technology ( IT)

mkuu unaonekana ni mvivu sana, ivo vitu ambavyo unauliza na kusubir comments za watu ndo ujue nin chakufanya ni vitu basics sana. Ingia google au youtube na utajifunza zaid ya hayo
ntangulize shukrani kwanz kwa kuchangia af pia sio mvivu kama unavofikria tunapita kote kot kuchanganya idea mbalimbali
af tunachagua sahihi chakufanya coz sio kila utakachokutana nacho ni realy
 
Back
Top Bottom