hair implant surgery ndo suluhisho hakuna nywele inaweza ota baada ya kuwa bald ila wakipandikiziwa nywele inakua kama unavopanda mti na una stimulate hata lile eneo lenye kipara kuanza kuota kama kawaida ni kamashamba lisilikua na miti unaanza kuotesha upyaKnamtu anakipara nilismsindkizakunua bidaha ya forever for bald ambazo ni shampo, conditioner, royal jell, bee pollen kwa ss ni mwez xx aoni results so inachukua mda gan matokeo yaonekane asante
bongo inawezekanika hii?hair implant surgery ndo suluhisho hakuna nywele inaweza ota baada ya kuwa bald ila wakipandikiziwa nywele inakua kama unavopanda mti na una stimulate hata lile eneo lenye kipara kuanza kuota kama kawaida ni kamashamba lisilikua na miti unaanza kuotesha upya
Sasa na hao wanaouza hawamkagui Mteja waone kama atapata matokeo chanya au la.Mmmh..nje ya mada kidogo,
i hope anajua chanzo cha yeye kua bald. If ni genets hzo mambo hazina msaada kiukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Main goal kwao ni mauzo. So hawawezi kukuzuia kununua wakati wanapata hela.Sasa na hao wanaouza hawamkagui Mteja waone kama atapata matokeo chanya au la.
Watu wana dhambi sana.Main goal kwao ni mauzo. So hawawezi kukuzuia kununua wakati wanapata hela.
Sent using Jamii Forums mobile app