Msaada kwa watumiaji wa forever living product

newbiee01

Senior Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
100
Reaction score
23
Knamtu anakipara nilismsindkizakunua bidaha ya forever for bald ambazo ni shampo, conditioner, royal jell, bee pollen kwa ss ni mwez xx aoni results so inachukua mda gan matokeo yaonekane asante
 
Itakuwa ameingizwa chaka. Dawa ya kipara ni kuzaliwa upya tumboni kwa mamake na siyo mzagazaga ya forever living.
 
Dawa ya kipara ni ku implant nywele zilizo chukuliwa kutoka sehem mbalimbali kama kwapani kifuani maungoni.. Upara unaisha kabisa , kama vile Wayne Rooney, ama tajiri Elon Musk walivyofanya na kuuaga upara vichwani mwao, hio mi jelly sijui pollen hamna kitu utapata.
 
Knamtu anakipara nilismsindkizakunua bidaha ya forever for bald ambazo ni shampo, conditioner, royal jell, bee pollen kwa ss ni mwez xx aoni results so inachukua mda gan matokeo yaonekane asante
hair implant surgery ndo suluhisho hakuna nywele inaweza ota baada ya kuwa bald ila wakipandikiziwa nywele inakua kama unavopanda mti na una stimulate hata lile eneo lenye kipara kuanza kuota kama kawaida ni kamashamba lisilikua na miti unaanza kuotesha upya
 
bongo inawezekanika hii?
 
hujui kuandika ama ndio udhungu wenyewe?!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom