Hilo ndilo wazo languMkuu unaonaje ukajipanga ufuge ng'ombe wa maziwa mwenyewe maadam soko unalo na vitendea kazi pia vipo.
Ikiwezekana unakochukua kama ni mbali na maziwa upatikanaji wake ni uhakika ufanye utaratibu kupata kichumba cha kukusanyia maziwa na kuyahifadhi/kipoozeo ili uweze kuwafikishia wateja wako bidhaa bora na kuongeza wigo mpana zaidi kuliko kupata hasara ya kufidia kila wakati
Mimi mtaalam wa dairy science and technology nakupa maelezo Kwa ufupi baadae saiz npo busy kidogo. Ila kwa hao wateja wako unaochukua maziwa mazingira Yao ya kukamilia ni masafi kiasi gani, vyombo wanavyokamulia je ni visafi kiasi gani, vyombo unavyosafirishia pia, pia kitu kingine huwa unayapima hayo maziwa ukishayachukua Kwa wateja wako. Maziwa yanahitaji usafi wa Hali ya juu. Kwa ufupi tuu ni hayo maelezoNimekuwa nikifanya biashara ya kuuza maziwa fresh ya ng'ombe wa kienyeji,
Changamoto inayonipata n kwamba maziwa yanatoka mbali kidogo ya mji sasa wakat mwingine yanakatika yanapokuwa sokoni
NB maziwa yanakamuliwa asubuh na kuchemshwa kisha nnayaweka kwenye freezer had kesho yake asubuh ndo nayapeleka sokoni.
Sasa wakat mwingine inabid kuwafidia wteja wangu maziwa pale yanapokuwa yamekatika.
Jee nitumie njia ngan ili yawe salama mda wote??, kwa wanaojua biashara hii msaada tafadhali..
Milioni 23 mpaka 40 kutegemea na capacitybei ?
very expensive, mtaji wote na mtaji wa jirani unapotelea hukoMilioni 23 mpaka 40 kutegemea na capacity
Milioni 23 mpaka 40 kutegemea na capacity
Milioni 23 mpaka 40 kutegemea na capacity
Kama hiyo hadi Milion 4 hivi unapata zinatofautina kwa capacity. Ila hoyo ya kwenye picha 4 million unachukuabei ?
very expensive, mtaji wote na mtaji wa jirani unapotelea huko
sawa mkuu ntaenda uwanjani kujua undani wakeSio kweli jamaa anawaogopesheni hiyo bei sio. Hata M 3 unapata tena mpya
Naweza kuipata wapi?Sio kweli jamaa anawaogopesheni hiyo bei sio. Hata M 3 unapata tena mpya