- Thread starter
- #21
Hilo ndilo wazo languMkuu unaonaje ukajipanga ufuge ng'ombe wa maziwa mwenyewe maadam soko unalo na vitendea kazi pia vipo.
Ikiwezekana unakochukua kama ni mbali na maziwa upatikanaji wake ni uhakika ufanye utaratibu kupata kichumba cha kukusanyia maziwa na kuyahifadhi/kipoozeo ili uweze kuwafikishia wateja wako bidhaa bora na kuongeza wigo mpana zaidi kuliko kupata hasara ya kufidia kila wakati