Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
Pemba yetu, gharama kulipia bandarini hutofautiana kulingana ukubwa wa gari pamoja na mwaka ambao gari lilitengenezwaJee ukinunua gari mpya kutoka nje ya nchi pale bandarini kuuingiza nchini TRA wanakata sh ngap?
Mfano nimenunua gari ya kutembelea ndogo ya milioni 5 jee kwa hii gari watanikata shilingi ngapi?
Well done braPemba yetu, gharama kulipia bandarini hutofautiana kulingana ukubwa wa gari pamoja na mwaka ambao gari lilitengenezwa
Mfano gari aina ya toyota noah lenye ukubwa wa injini cc 1990 ushuru wake ni mdogo ukilinganisha na gari yenye cc zaidi ya 3000 ushuru wake utakuwa juuu.
Kwa upande wa mwaka wa kutengezwa pia tofauti yake ni;
Miaka 1 hadi 7 ushuru wake ni nafuu sana kuliko miaka 8 ni ushuru kubwa kwani utalazimika kulipia uchakavu.
Japo gari la miaka 2000 hadi 2006 ni nafuu sokoni lakini utaumia kulipia ushuru.
Msada zaidi ingia;
www.tra.go.tz
Chagua calculation
Then vehicle
Pemba yetu, gharama kulipia bandarini hutofautiana kulingana ukubwa wa gari pamoja na mwaka ambao gari lilitengenezwa
Mfano gari aina ya toyota noah lenye ukubwa wa injini cc 1990 ushuru wake ni mdogo ukilinganisha na gari yenye cc zaidi ya 3000 ushuru wake utakuwa juuu.
Kwa upande wa mwaka wa kutengezwa pia tofauti yake ni;
Miaka 1 hadi 7 ushuru wake ni nafuu sana kuliko miaka 8 ni ushuru kubwa kwani utalazimika kulipia uchakavu.
Japo gari la miaka 2000 hadi 2006 ni nafuu sokoni lakini utaumia kulipia ushuru.
Msada zaidi ingia;
www.tra.go.tz
Chagua calculation
Then vehicle
Mkuu unakosea, usiunganishe na bei ya kununulia,,gari yenyw umri wa miaka 10 ushuru wake ni 80% wakati miaka michache inaweza kuwa 30% ya manunuzi, nina vieleleze sio hadithi mkuuMkuu hapo kwenye miaka ya gari usiingie chaka, gari iliyotengenezwa miaka ya karibuni ushuru wake ni mkubwa balaa, mfano check Toyota mark x ya mwaka 2004 cc 2500 linganisha na Toyota mark x ya 2010 cc 2500 uone mark x ya 2010 ilivo na ushuru mkubwa balaa
Mkuu fanya kitu kimoja rahisi ingiza hayo magari niliyokwambia hapo juu kwenye calculator ya tra then leta majibu hapa jukwaani, ipi itapigwa kodi kubwaMkuu unakosea, usiunganishe na bei ya kununulia,,gari yenyw umri wa miaka 10 ushuru wake ni 80% wakati miaka michache inaweza kuwa 30% ya manunuzi, nina vieleleze sio hadithi mkuu
Wanataka vigogo pekee wamiliki magariDaaah km tra wamekua hvyo hii haiwez kuwa nchi
Wanataka mwendokasi ifike hadi mikoani. Mkununua wote magari nani atayapanda.Daaah km tra wamekua hvyo hii haiwez kuwa nchi
Nadhani umelinganisha vibaya. Magari ya miaka ya karibuni ya unafuu wa kodi kuliko ya zamani. Jumla ya kodi zote kwenye gari lililozidi miaka 10 karibu na asilimia 100% ya thamani ya gari hili wakati gari la miaka chini ya 8 jumla ya kodi zake ni asilimia 50% ya thamani ya gari lenyewe. Hivyo basi ni heri kununua garia chini ya miaka 8 kuliko kununuabla miaka zaidi ya kumi. Kodi ya uchqkavu zaidi ya miaka 10 ni 30%, miaka 8-9 ni 5%, chini ya miaka 8 hakuna kodi ya uchakavu.Mkuu hapo kwenye miaka ya gari usiingie chaka, gari iliyotengenezwa miaka ya karibuni ushuru wake ni mkubwa balaa, mfano check Toyota mark x ya mwaka 2004 cc 2500 linganisha na Toyota mark x ya 2010 cc 2500 uone mark x ya 2010 ilivo na ushuru mkubwa balaa
Kuna ile excel sheet ya TRA, idownload itakusaidia kukadiria... ilaiin short we andaa mara mbili ya CIF.Jee ukinunua gari mpya kutoka nje ya nchi pale bandarini kuuingiza nchini TRA wanakata sh ngap?
Mfano nimenunua gari ya kutembelea ndogo ya milioni 5 jee kwa hii gari watanikata shilingi ngapi?
Mkuu mara mbili ya CIF? Sio kwamba aandae sawa na CIF?Kuna ile excel sheet ya TRA, idownload itakusaidia kukadiria... ilaiin short we andaa mara mbili ya CIF.
Hela ya kununulia imo ndani yakeMkuu mara mbili ya CIF? Sio kwamba aandae sawa na CIF?
Mkuu mbona mnakua wabishi, weka kwenye tra calculator mark x ya 2005 cc 2500 linganisha na mark x cc 2500 ya 2010 ,uone unaletewa kodi kiasi gani.Nadhani umelinganisha vibaya. Magari ya miaka ya karibuni ya unafuu wa kodi kuliko ya zamani. Jumla ya kodi zote kwenye gari lililozidi miaka 10 karibu na asilimia 100% ya thamani ya gari hili wakati gari la miaka chini ya 8 jumla ya kodi zake ni asilimia 50% ya thamani ya gari lenyewe. Hivyo basi ni heri kununua garia chini ya miaka 8 kuliko kununuabla miaka zaidi ya kumi. Kodi ya uchqkavu zaidi ya miaka 10 ni 30%, miaka 8-9 ni 5%, chini ya miaka 8 hakuna kodi ya uchakavu.
Ukitaka mujua koei ya kila gari nenda www.tra.go.tz link a calculator and tools
Sijawa mbishi. Linganisha % ya jumla ya kodi kwa thamani ya gari, utaona ya mwaka 2005 ni kubwa kuliko ya mwaka 2010. Mwaka 2005 ni $3600 inalipiwa 8.5m/= lakini ya mwaka 2010 ni $6300 lakini inalipiwa 8.8m/=. Maana yake ni kuwa ya mwaka 2010 i a nafuu sana ya kodi.Mkuu mbona mnakua wabishi, weka kwenye tra calculator mark x ya 2005 cc 2500 linganisha na mark x cc 2500 ya 2010 ,uone unaletewa kodi kiasi gani.
Lakini kwenye calculator ya TRA haiangalii bei ya gari, yenyewe inatoa tu jumla ya kodi. Gari linaweza likawa la miaka ya nyuma lakini likaunuliwa kwa bei kubwa (CIF) kuliko gari la miaka ya karibuniSijawa mbishi. Linganisha % ya jumla ya kodi kwa thamani ya gari, utaona ya mwaka 2005 ni kubwa kuliko ya mwaka 2010. Mwaka 2005 ni $3600 inalipiwa 8.5m/= lakini ya mwaka 2010 ni $6300 lakini inalipiwa 8.8m/=. Maana yake ni kuwa ya mwaka 2010 i a nafuu sana ya kodi.
Wewe umelinganisha kodi peke yake bila kuangalia uhusiano wake na thamani ya gari.