zachaja
Senior Member
- May 16, 2015
- 153
- 198
Kimsingi, mtumishi wa umma anapoagiza gari yenye miaka kumi (10) au pungufu ya yapo, kwa mujibu wa sheria husamehewa 25% ushuru wa forodha (Import Duty)Naomba kufahamu..kuna jamaa yangu aliniambia kuwa watumishi wa serikali wakiagiza magari nje ya nchi hawatalipa ushuru bandarini maana wao wanalipa kodi ya moja kwa moja ktk mishahara yao je ni kweli?
Kimsingi mtumishi wa umma anapoagiza gari lenye miaka 10 au pungufu ya hapo, kwa mujibu wa sheria husamehewa 25% ya ushuru wa forodha (Import Duty) na 5% mpaka 10% ya ushuru wa bidhaa (Excise Duty). Gari husika sharti liwe na ukubwa wa engine usio zidi cc 3,000.Naomba kufahamu..kuna jamaa yangu aliniambia kuwa watumishi wa serikali wakiagiza magari nje ya nchi hawatalipa ushuru bandarini maana wao wanalipa kodi ya moja kwa moja ktk mishahara yao je ni kweli?
Na lengo kubwa ya msamaha huu ni kumsaidia mtumishi kupata chombo cha usafiri kwa gharama nafuu.