Msaada kwa wenye ujuzi wa IBAN na SWIFT CODE

AKAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
991
Reaction score
963
Natumaini wote ni wazima wa afya,

Naomba kupata maeleze kuhusiana na IBAN na SWIFT CODE za bank, nimejaribu ku-Google Nimesoma maelezo lakini kuna points sijazielewa.

Natanguliza shukrani.
 
IBAN ni kifupi cha International bank Account Number, IBAN huwa ina combine namba zinazowakilisha nchi, bank husika na tarakimu zingine zinatokana na namba ya akaunti yaani namba za akaunti ya kawaida. Japo unaweza kutuma na kupokea fedha kwa account number ya kawaida lakini IBAN huwezesha mabenki kurahisisha muamala na fedha huwasili kwa haraka zaidi.
Na Swift code ni namba inayowakilisha bank kwenye mfumo wa SWIFT.
SWIFT ni mfumo salama wa kuwezesha mabenki kuwasiliana kuhusu miamala ya kifedha.
 
Natumaini wote ni wazima wa afya,

Naomba kupata maeleze kuhusiana na IBAN na SWIFT CODE za bank.., nimejaribu ku-Google Nimesoma maelezo lakini kuna points sijazielewa.

Natanguliza shukran
Nakumbuka mtihani wangu wa mwisho nilipewa kazi ku penetrate kwenye database flani.. na kuchukua IBAN no zote... ilinitesa sana ila nilitoboa na hatimae nikawa certified.... πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mtaalamu Lloyd Munroe wapiii... mwanafunzi wangu mtalajiwa Leejay49 naona una like sioni wazo lako
 
Oracle Sql exploration tu nilivuja mijasho. Niliwaza kuingia na kibomu.
 
Oracle Sql exploration tu nilivuja mijasho. Niliwaza kuingia na kibomu.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… sie pepa hata kibomu hakisaidii.. ile paper ilikuwa ni siku tatu .. unaifanya unavyojisikia mwenyeweee.. nilienda hata kwa mtabe mmoja na Msc ya Is security lakini wapi.. tumeshinda nae siku nzimaaa chaliii.. nikaona nikakomae mwenyewe hadi nilitoboa
 
Paper gn hio, Offensive Sec au?
 
Maswali ya Uhalisia kibomu akina maajabu.
 
Kwani account namba za wateja ziko kwenye mfumo gani? Hazina IBAN? Experince yangu nchi nyinje ya nchi ni kuwa ukiingia kwenye account yako huwa inaanza na IBAN ndiyo inafuata namba ya account
 
Kwani account namba za wateja ziko kwenye mfumo gani? Hazina IBAN? Experince yangu nchi nyinje ya nchi ni kuwa ukiingia kwenye account yako huwa inaanza na IBAN ndiyo inafuata namba ya account
Hio format inakua na namba fln hapo zinazoanza na ndo inafuata acc namba yako, hizo characters ndo nilipata challenge kuzipata
 
mie mzee wa Tindo na Snake Wire hapa nafanya nini ?
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nimecheka hii snake wire, kuna mahala nilipata kazi nisiyo na uzoefu nikamcheki jamaa ananielekeza niwe na snake wire.. na mie nikaanza muelekeza mtu.. nilichokuwa nawaza tofauti..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…