binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
EQBLTZTZ kwa sisi wananchi wa EQUITY.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa mkoa kwénye msiba nikalipwa na client yuko spain ile pesa haikusoma. Nikawa nawasisliana na crdb customer care napewa majibu kuwa kama angekuwa ameituma ingesoma hiyo pesa haikutumwa. Nilipomwambia client akanitumia mt103 form. Na huyo ckient alikuwa akinilipa kila mwisho wa mwezi kuanzia mwez wa saba mwaka juzi so hiyo ilikuwa kama malipo ya mara 8 na kuendelea.Dada mmoja alienda kwa bank yake kuulizia SwiftCode, mhudumu wa kwanza wa bank hadi muhudumu wa 3 wakawa wanamzungusha na wenyewe hawaijui SWIFT code!!!!! Baadae alinipigia kunihadithia ikabidi nimuulize how?? How hawajui au ni watoto wa field uliwauliza?
CC. HIMARS National AnthemNilikuwa mkoa kwénye msiba nikalipwa na client yuko spain ile pesa haikusoma. Nikawa nawasisliana na crdb customer care napewa majibu kuwa kama angekuwa ameituma ingesoma hiyo pesa haikutumwa. Nilipomwambia client akanitumia mt103 form. Na huyo ckient alikuwa akinilipa kila mwisho wa mwezi kuanzia mwez wa saba mwaka juzi so hiyo ilikuwa kama malipo ya mara 8 na kuendelea.
So, nikaona acha nisiende tawi la mkoa nikirudi dsm nitaenda kumaliza huko huko.
Kimbebe nimeenda kwenye tawi baada ya kurudi dar, wale wahudumu wa mapokezi hata form mt103 hawajui ni kitu gani. Na.mbaya zaidi wameulizana wao wawili hawajui wakaishia haa kaka kama ela ingekuja ingeonekana kwenye akaunti, wakati ile mt103 ni uthibitsho wa msg ambazo bank zinabadilishana wakati wa kufanya miamala na inasaidia receiver kutrace pesa iko wapi. Nikaona ngoja niende tawi lingine nako hivyo hivyo hawaelewi ni kitu gani, luckily hawa walikuwa werevu wakanidirect kwa jamaa nikampa akapiga simu sinjui hq sijui wapi wakasema sinjui reference number za miamala zilitofautiana so hiyo pesa wanairudisha ilikotoka itumwe uoya. Ilichukua week wakairudisha jamaa akaituma tena.
So, watu wa bank hawajui.mengi kuhusu kazi zao.
Watanzania ni miamala ya kimataifa wapi na wapi... tupo nyuma sanaaa... kidogo sasa hivi watu wanapata mwanga.. fatilia hata history ya internet bank ndio utaelewa hizo picha picha
BARCTZTZ kwa sisi wananchi wa ABSAEQBLTZTZ kwa sisi wananchi wa EQUITY.
Hamna ninachokielewa hapa ticha,, hope na hii mada utanifundisha si ndio 😊😊🤗Nakumbuka mtihani wangu wa mwisho nilipewa kazi ku penetrate kwenye database flani.. na kuchukua IBAN no zote... ilinitesa sana ila nilitoboa na hatimae nikawa certified.... 😅😅😅
Mtaalamu Lloyd Munroe wapiii... mwanafunzi wangu mtalajiwa Leejay49 naona una like sioni wazo lako
😊😊 utaelewaa tu mwanafunzii... darasa ni 🔥Hamna ninachokielewa hapa ticha,, hope na hii mada utanifundisha si ndio 😊😊🤗