Msaada kwa wenye ujuzi wa IBAN na SWIFT CODE

Nilikuwa mkoa kwΓ©nye msiba nikalipwa na client yuko spain ile pesa haikusoma. Nikawa nawasisliana na crdb customer care napewa majibu kuwa kama angekuwa ameituma ingesoma hiyo pesa haikutumwa. Nilipomwambia client akanitumia mt103 form. Na huyo ckient alikuwa akinilipa kila mwisho wa mwezi kuanzia mwez wa saba mwaka juzi so hiyo ilikuwa kama malipo ya mara 8 na kuendelea.
So, nikaona acha nisiende tawi la mkoa nikirudi dsm nitaenda kumaliza huko huko.
Kimbebe nimeenda kwenye tawi baada ya kurudi dar, wale wahudumu wa mapokezi hata form mt103 hawajui ni kitu gani. Na.mbaya zaidi wameulizana wao wawili hawajui wakaishia haa kaka kama ela ingekuja ingeonekana kwenye akaunti, wakati ile mt103 ni uthibitsho wa msg ambazo bank zinabadilishana wakati wa kufanya miamala na inasaidia receiver kutrace pesa iko wapi. Nikaona ngoja niende tawi lingine nako hivyo hivyo hawaelewi ni kitu gani, luckily hawa walikuwa werevu wakanidirect kwa jamaa nikampa akapiga simu sijui hq sijui wapi wakasema sijui reference number za miamala zilitofautiana so hiyo pesa wanairudisha ilikotoka itumwe uoya. Ilichukua week wakairudisha jamaa akaituma tena.
So, watu wa bank hawajui.mengi kuhusu kazi zao.
 
CC. HIMARS National Anthem

Mnaona mambo hayo?
 
Hamna ninachokielewa hapa ticha,, hope na hii mada utanifundisha si ndio πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…