Msaada kwa wenye uzoefu wa friji kati ya BOSS na Mr UK

Msaada kwa wenye uzoefu wa friji kati ya BOSS na Mr UK

Natumai mko salama na wazima wa afya. Ombi langu ni kwa yeyote yule mwenye kujua uimara wa hizi kampuni mbili za friji BOSS na Mr UK ipi ipo vizuri katika utendaji?

Nahitaji kununua friji na sina uzoefu nazo kabisa Wakuu msaada tafadhali [emoji120]
Hicho ni kitu kimoja kasoro majina tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunicheki
Nenda D.I.T wanatoa short course wapo vizuri nimesoma hapo
 
Update:[emoji116]
Nilifanikiwa kununua friji la BOSS lita 145. Friji ipo njema sanaaaa sijutii kulinunua.

Asanteni pia kwa ushauri wenu nyote mliohusika kunipa ushauri mbalimbali [emoji120]
 
Update:[emoji116]
Nilifanikiwa kununua friji la BOSS lita 145. Friji ipo njema sanaaaa sijutii kulinunua.

Asanteni pia kwa ushauri wenu nyote mliohusika kunipa ushauri mbalimbali [emoji120]
Picha mkuu na kabei kwa chini tafadhali ...
 
Back
Top Bottom